Mungu Mkuu - Victor prod

Mungu Mkuu

0.0 of 5 stars
0 votes
  • 0
  • 0
Share this Song

Mungu Mkuu Lyrics

Mungu Mkuu 

Ata dunia ini katae 

Hauta acha moyo wangu 

Ata rafiki wani kimbiye

We rafiki yangu sana 

Ata mateso yani andame

Kwako nina kimbilia 

Wewe Mungu uko juu sana 

Wema wako fadhili juu yangu 

Umeniketisha sirini kwako

Mimi mwanao

Hakika wema wako utanifata

Sitaohopa mabaya 

Kwa maana Mungu uko nami

Ngongo yako na fimbo yako 

Yanifariji moyo 

Umeniandalia karamu 

Machoni pa watesi wangu

Ni wewe ndiye wani piganiya 

Sana

Which mean ni wewe pekee baba 

Unajua uzaifu wangu

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep HowweBiz a safe and vibrant place for music lovers!

Download the Mobile Music App
Howwe App