📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep HowweBiz a safe and vibrant place for music lovers!
Umeniweka imara
Nakujivunia miye
Kwa makubwa na matendo
Umenitendea miye
We ndo muchungaji wangu
Sitasumbukiwa na kitu
Hakika wema wako fazili zako zita nifata
Nani kae nyumbani mwako milele amina
Umenifanya imara
Umeniweka pole pole
Umerejesha nafsi yangu
Nakuniongoza kwenye njiya za haki
Kando ya maji ya utulivu(huniongoza)
Katika malisho ya majani ma bichi(hunilaza)
Ata ni pite kwenye uvuli wa mauti sita ogopa maana bwana yuko nami
Maana ameandaa mega
Mbele ya maadui zangu
(Chorus)
Umeniweka imara Nakujivunia miye
Kwa makubwa na matendo...........................
Umenipaka mafuta
Kichwani pangu
Na kikombe iki kyangu
Kinafurika
Hakika wema fazili zako
Zita nifata milele amina
Umenipaka mafuta
Kichwani pangu
Na kikombe iki kyangu
Kinafurika